Msaada tafadhali, nimekata tamaa ya maisha

Magonjwa yote yanatibika isipokuwa kifo na uzee pekee yake
 
Pole sana.
Mwombe sana Mungu kwa imani yako kila tatizo linatibika.

Binafsi mke wangu alishapata changamoto mbaya sana ya tumbo aliumwa sana tukafika Regency hospital Tukagundua hilo janga hao HPYROL.Yan ilikua akinywa pepsi aisee ni balaa . wakampa ile kit aisee yale madawa yalimtesa zaid.

Nikamwambia tumtafute Mungu tu kwenye hili.Tukaanza kujiombea wemyewe na ku attend ibada tukiomba sana Mungu atusaidie.Bas mara kadhaa tukiwa ibadan mchungaji akawa akiomba sana kuhusu watu wenye shida ya vidonda vya tumbo na hapo wala hatukumwambia...Basi baada ya muda ghafl hali yake ikatulia kisha akastablize now mi mzima kabisaaa shida ilishakwisha tukarud hospital and they confirmed the healing.
 
Nateseka Sana aisee nakunywa dawa nikimaliza kupima wamo yaan dah
 
hilo tatizo limenitesa sana.tumbo langu lilikuwa kubwa sababu ya kujaa gesi.watu wananiambia nimerizika na maisha hadi kitambi.nawaambia mi naumwa hili tumbo jamani.asubuhi au mchana mdomo mchungu.kiungulia kikali hatari.

ikabidi ninunue dawa ya minyoo.nikanywa.
omeprazone nikameza pia.
nikaona nafuu kiasi.

lakini nikaamua kukatisha omeprazone nikapewa dawa moja ya kienyej na mzee flan wa kipare.

Huwa tunatumia sana dawa zake hapo nyumbani.yaani ni kama daktari wa familia.
nilipoanza kunywa nilikuwa nakojoa nyongo sijapata kuona.yaani dozi namalizia leo usiku lakini hali yangu imetengemaa namshkuru mungu.mwili umerud mpya kama wa mtoto.uchovu umeisha kitambi kimerud standard.apetite iko vzr kbs
 
Herpetic ulcers ndio inakusumbua, oesophagus iko na mucus nyingi hivyo imelegea misuli nakuruhusu nyongo kupita hasa unapokua umelala hivyo unapata ladha ya uchungu mdomoni.
Na inaweza kusababisha mgandamizo maeneo yakifua mpaka unaweza dhania ni ugomjwa wa moyo.
Mitishamba itakuponya PM kwa tiba.
Tatizo ni la kawaida usikate tamaa wapo wanao ugulia makubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…