Msaada tafadhali: Naomba kujua jinsi ya kuunda WiFi

Simu si ndo hii mkuu??.. naomba maelezo kuhusu hiyo Wi-Fi router ni software au??
WI FI router hiki ni kifaa kinaweka kikawa kinatumia hata LAINI YA SIMU unayoitaka wewe.
Mfano nyumbni kwako una watu kama 7 wanatumia Smartphone.
Ukinunua hiki kifaa unaweza hata kujiunga na kifurusi tuseme cha tsh 70,000 ukapata mfano GB200 kwa miezi mitatu.Je utaweza kuzimaliza pekee yako.
Utaichukua ile laini utaiweka kwenye WI FI Router then utaiwasha hiyo wi fi kisha uta connect na simu yako na kama hao watu unaokaa nao wanataka kutumia internet ya bure ndani ya nyumba unayokaa wewe unaweza ukawaunganisha pia.
KAMA HAUJANIELEWA NAHISI KUNA WATU WATAKUJA KUKUELEKEZA ZAIDI MAANA MIMI SIO MJUZI SANA WA WI FI
 
asante sana mkuu
 
Mtandao gani wenye ofa hiyo ya elfu 70 gb 200 kwa miezi 3?
 
Njoo PM nikuuzie WiFi Router.
IMG-20190123-WA0000.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom