Nilishaondokaga kipindi fulani for a week alihaha na kutumia njia zote nikarudi. Nikimuacha najua itakuwa vilevile atanirudisha, note anajeuri ya pesa. Nataka njia ambayo yeye ndo aniambie ondoa nyumbani kwangu au aniambie sikutaka tena au aniambie kuanzia sasa wewe si mke wangu. Means asihangaike kunifata na kutaka nirudi tuishi wote.
Na hii itokee bila mimi kuwa na mahusiano na mwanaume mwingine, Bila kumfanyia visa anavonifanyia wala sitaki tugombane.
Kama ni njia au jinsi iwe moja yaani nikifanya hivo yeye mwenyewe aseme basi ondoka sio nifanye mlolongo wa visa.
Am totally fed up.