Msaada tafadhali mwenye kulijua hili

vickboy.com

Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
85
Reaction score
23
habarin wana jf. nina mdogo wangu alichaguliwa chuo cha mpwapwa lakin hajaripot mpaka sasa kutokana na kutafuta mahitaji pamoja na ada. But now amepata ila wasiwasi wake huko chuoni atapokelewa!? maana chuo kimefunguliwa toka trh 6 mwez wa 10. Pia naomba mweny namba ya mkuu wa chuo au makamu au academic. Nisaidieni tafadhali.
 
nenda uczidi kuchelewa...!hakuna acye jua ghalama katika mwaka wa kwanza wa masomo.kilichopo ni kujieleza,ukaeleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…