Msaada tafadhali mpenzi wangu simuelewi

[emoji23][emoji23][emoji23] heshima kwa mama alikulea vyema japo hyo style yake ni tata , nayeye dushe kalijulia chuo kabla ya hapo hakuwai kutumia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa sisi tufanyaje??
 
Kwani lazma hiyo kitu mm mnaniudhi wanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
comment kama hii nilikuwa naitafuta siku nyingi wewe hupendi kufanya mapenzi ila unapenda kila siku nikusaidie je wewe nafaidika na nini kwenye nahusiano yangu na wewe maana utelezi hunipi na bado unaniambia tusubiri wakati mimi kila siku unaniomba hela kama kufanya ngono unaona tusubir basi na swala la pesa lisubir[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hapo vipi mdada
 
Ukiona mbwa wako anakubwekea sana basi ujue kuna jirani anamlisha vizuri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…