Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,825
- 113,410
- Thread starter
-
- #21
Sasa kidogo nmeanza kupata uelewa tupo wengiHahahahahaha aisee mbona uongo wa kijinga sana huo?
Nafasi ya mama yake weka kidume mwenzio, huenda ndo anayemkagua kila siku kama mbunye yake imetafunwa
Igizeni kwenye komenti tuu ila mtaani huko mnayaishi sana wakuu kama mlishalianzisha mtaacha yanin..?Yaan wanaudhi kweli utadhan mahusiano ni lazima kufanya mapenzi kila saa saa na wanawake pia waache kutumika ovyo ovyo inabid ifike mahali wakaze sio kuliwa ovyo ovyo waiii
Natafuna mda wowote ila ikishafika hcho kipind napgwa stop ata 2 weeks kabla
Habari za wakati huu wakuu ,moja kwa moja niende kwenye jambo linalontatiza, nna mpenz wangu mwanachuo kila ikikaribia likizo arudi kwao ataki tufanye mapenz kwa sababu ambazo binafsi sidhani kama huwa ipo ivo . Ananiambia hawezi/hataki kwa sababu akifanya mapenzi siku mbili kabla ya kwenda kwao akifika mama yake atajua kilichofanyika .Sijui kama kuna ukweli juu ya hili wakuu au ndio napigwa chenga ya mwili.?? Nifanyaje kuibadilisha hii hali nmeshajaribu kumuelewesha bado hanielewi..nifanyaje wakuu???
Natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuoa baadae sanaSi umuoe tu shoda zote za nn mkuu, hii ndio shida ya ku date na wasichana, wanawake hawana hizo tabia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu anamtunzia hataki kumlisha kiporo...concluded!Habari za wakati huu wakuu ,moja kwa moja niende kwenye jambo linalontatiza, nina mpenzi wangu mwanachuo kila ikikaribia likizo arudi kwao ataki tufanye mapenzi kwa sababu ambazo binafsi sidhani kama huwa ipo ivo .
Ananiambia hawezi/hataki kwa sababu akifanya mapenzi siku mbili kabla ya kwenda kwao akifika mama yake atajua kilichofanyika .
Sijui kama kuna ukweli juu ya hili wakuu au ndio napigwa chenga ya mwili.?? Nifanyaje kuibadilisha hii hali nmeshajaribu kumuelewesha bado hanielewi..nifanyaje wakuu???
Natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu anamtunzia hataki kumlisha kiporo...concluded!
Asante mkuu Ngoja nichanganye na zangu nifanye maamuzSio mama ni mwenzio ndo atajua kilichofanyika
Ahsante mkuuMkuu hapo una sindikiza tu huyo sio wako ana wake stop wasting time bro chase papers and not bitches. Where there is love there aint excuses bro its a matter of actions.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri mzuri sana mkuu Ahsante mi siendekezi sana ndondo ila nlitaka kujua ukweli juu ya hili maana kama kuanza tulishaanza na huwa n mtiifu na msikivu kwa mwenzangu ndio maana nkaja kwenu nipate na mashauri ya busara zaidi.Tafuta Faida au hasara za kufanya Mapenz kabla hujafunga ndoa hasara ni nyingi hasa kwa Mwanamke ushauri mdogo tu vijana mjitaidi mpate Elimu za Mahusiano na Ndoa mtajua mengi sana
Hasara nyingi humkuta Mwanamke pale unakuwa umemtumia sana mpaka shepu au mwili unachoka matokeo yake kuna uwezekano Mkubwa asiolewe na akaharibu Maisha yake kwa sababu yako kumbe namsifu huyo Msichana akukazie na iwe mfano Kwa wakina Dada msipende kutumika afu Mwisho Wa Siku mnapigwa chini au mnapigana chini
Mjitaidi kuwa wavumilivu ila inataka Moyo sana mfanye Mapenz kipindi cha ndoa na nasisitiza Mabinti tunzeni sehemu zenu kwa manufaa ya Ndoa zenu isije wakosti
Wadada Muwakazie tu,kama anakupenda utamjua tu na sio kukutumia,pia muepuke wapo wengi wanakupenda sio mtu anakuchezea sehemu zako Alafu hakuoi kuna Faida gani sasa
Vijana mnakosea sana ndondo Sana hamuangalii madhara baadae tamaa za uasherati tu hamna jipya ndo mnaisi ni mapenz ya kweli? Sio Kweli wengi wanachezeana tu msiweke ndondo mbele wekeni Upendo na Ukweli mbele hayo ndo Mapenz ya kweli