Msaada tafadhali (Mod hii thiridi naomba usimove)

"Automatic defensive mechanism" imekuponya au imemponya huyo dada na UKIMWI. Kapime, utafute mchumba akapime muoane. Achana na hiyo kitu haina mwisho mzuri.
 
nimecheka sanaaaaa...

Nawaza .. just out of curiosity:
- Kwanini ulikuwa hujanywa chai wala kula chochote toka asubuhi?? (ulitumia zote kumhonga ili akupe?? na mwisho akakupa fupa likakushinda au ilikuwaje??)
- Mpenzi alikuwa anakimbilia wapi? kwa nani? na kulikuwa na haja gani ya kufanya kama ana haraka? (ulimwiba toka wazazi wake, shuleni au ni chakula ya watu lol)
 
ki ukweli nilkuwa sipo awea kwamba ntafanya hiki kitendo. Pia yeye aliniambia anachelewa home
 
ki ukweli nilkuwa sipo awea kwamba ntafanya hiki kitendo. Pia yeye aliniambia anachelewa home

hahaaaaaaaa......

Tuache utani aisee.. Dogo maliza kwanza shule bana. Then haya maishu utayakuta tu , sawa mtoto mzuri ee ee!
 
hahaaaaaaaa......

Tuache utani aisee.. Dogo maliza kwanza shule bana. Then haya maishu utayakuta tu , sawa mtoto mzuri ee ee!

ila ndo hivyo elimu haina mwisho tunajifunza haidi pale karibu na kaburi
 
Kitaalamu Hizo ni dalili za mwishoni za kuwa gay!
 
Kamuone Dr. , Humu unaweza kupewa ushauri kibao hadi kafikia sio tu kuishiwa nguvu bali hata dushelele ku disapear kabisa.
 
Tatizo sio njaa, njaa ya kukosa mlo mmoja haiwezi kukufanya hivyo lakini kama kuna shida nyingine sasa njaa inaifanya hiyo shida kuwa kubwa zaidi, jaribu kupima sukari ya damu asubuhi kabla hujala kitu chochote.
 
mkuu wangu ni njaa maana jana yake nilipiga kiepe kave juzi yake kiepe yai na mchana napitiza tu bila kula nimewaza sana nikaona labda ni mpango wa Mungu ili nione ni jinsi gani maisha sometime yanweza kuwa......
 
who is she to you?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…