TheBuilder
JF-Expert Member
- Apr 21, 2014
- 237
- 212
Habari wadau,
Rejea kichwa cha thread kama kinavyojieleza,
Mwezi wa sita kuna kazi ya ujenzi nategemea kuianza pale Geita, kwa kuwa mimi si mzoefu sana maeneo ya Kanda ya Ziwa, ningependa kufahamu kuhusu upatikanaji wa vifaa vya ujenzi hasa mabati ya IT5 na bei zake, kama zitakuwa ghali ninunue hapa Dar nivisafirishe kwenda Geita.