habari zenu wakuu,
kwanza natanguliza shukurani kwa msaada ntakaopewa,
computer yangu aina ya desktop (HP), pia ina RAM 1GB, WINDOW7, harddisk GB40,
nikiistall games zinagoma kuplay sijui tatizo ni nini,
naomba msaada kwa hilo.

Ndugu desktop yako Ina uwezo mdogo sana ongeza ram angalau 2au4au 6 GB n.k pia hdd walau 320 GB n.k hapo utaplay game za kawaida ukitaka game kubwa kama FIFA na nyinginezo unaitaji graphic card nzuri kwa Intel isipungue 1.5au2gb mengine wakuu watashusha hapa kuwa mvumilivu

nashukuru sana,
pia mimi sina ujuzi sana wakutumia computer ndio maana hata swala dogo kama ilo lilikua limenishinda isito hat iyo processor siijui,
lakini nafurahi kuona sasa taratibu naendelea kujifunza zaidi
hakikisha unajua processor na ukubwa wa gpu yako.
harafu kabla hujadownload kitu soma kwanza minimum system requirement. kama computer yako itakuwa inaendana ndo unadownload. huenda uliweka gemu kubwa kuzidi uwezo wa mashine yako.