janjab
Senior Member
- May 28, 2015
- 172
- 56
Nina jiko la gesi ambalo natumia mtungi wa oryx ambapo bina takriban ka mwaka na kidogo sijawai kulitumia sasa leo nimeanza kulitumia baada ya kujaza gesi lakini kila niki attach regulate na kuiruhusu gesi on ninasikia sauti ya gesi ikivuja naomba msaada kwa wataalam kama wanaweza kujuwa nini tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app