Msaada tafadhali jinsi ya ku activate iPhone S5

Twilumba

Platinum Member
Joined
Dec 5, 2010
Posts
13,468
Reaction score
16,168
Nimenunua simu last wk iPhone S5 in Switzerland lakini nashindwa ku install free app.

Nimefungua account ya Apple na nime activate. Sasa, ninapotaka ku install free app ninaambiwa account yangu haijatumika bado kwa hiyo ni review. Nikifanya hivyo nafikia stage naambiwa niweke account namba yangu pamoja na code kwa ajili ya malipo pundit ni kufanya hivyo na sioni option ya none ambayo km Huna account hiyo unaweza skip hiyo stage.

Nisaidieni tafadhali nifanyege iLi niweze ku install free app. Thanks, nipo Moro.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
nadhani unamaanisha iPhone 5S na sio iPhone S5..
fuatilia hatua hizi ili uInstall free apps bila uhitaji wa credit card,,

[h=3]If you're using an iPhone, iPad, or iPod touch[/h]
  1. Open the App Store, iTunes Store, or iBooks Store on your iOS device.
  2. Choose any free app, song, video, or book.
  3. Tap Free next to the item, then tap again to get it.
    HT2534_08-ios_7-app_sotre-fmip-free_button-002-en.png
  4. When you're asked to sign in with an Apple ID, tap Create New Apple ID.
  5. Follow the onscreen instructions. When you're asked for payment information, choose None.
    HT2534_12-ios_7-app_sotre-billing_info-none-002-en.png
  6. After you enter all of the information required, you'll be asked to verify your Apple ID by email. You must verify your Apple ID before you can begin using it. Didn't receive the email?
 
Very useful info. I almost did the same lakini sikukutana na option ya "None". Thanks let me try again if not again n again!

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Very useful info. I almost did the same lakini sikukutana na option ya "None". Thanks let me try again if not again n again!

Sent from my iPad using JamiiForums

Mheshimiwa Brakelyn,
Nikifika stage ya Billing Information....
Inatokea,
Visa
MasterCard na
Amex.
Haitokei option ya Discover n None.
Thanks!

kama imekataa directly kwenye simu itabidi ujaribu kwa kutumia iTunes kwenye computer..
fuatilia hizi steps:

Open iTunes, and click the iTunes Store link on the left.
sshot6101.png

Click the App Store link on the top of this page.
sshot619.png

Select a free app to download. A simple way to do this is to scroll down to the Top Free Apps box on the right side, hover your mouse over the first item, and click on the Free button that appears when you hover over it.
sshot621.png

A popup will open asking you to sign in with your Apple ID. Click "Create New Account".
sshot622.png

Click Continue to create your account.
sshot623.png

Check the box to accept the Store Terms and Conditions, and click Continue.
sshot624.png

Enter your email address, password, security question, and date of birth, and uncheck the boxes to get email if you don't want it…then click Continue.
sshot20100318204252.png

Now, you will be asked to provide a payment method. Notice now that the last option says None! Click that bullet option…
sshot626.png

Then enter your billing address. Simply enter your normal billing address, even though you are not entering a payment method. Click Continue and your account will be created!
sshot627.png

If you get the Address Verification screen just verify your county and click Done.
sshot20100318204726.png

An email will be sent to you to verify your account…
sshot20100318204833.png

Click on the link in your email to verify your account, iTunes will launch and you're prompted to enter in the Apple ID and Password you just created.
sshot20100318205524.png

Your account is successfully created!
sshot20100318205617.png

Now you can easily download any free media from iTunes. Keep an eye on the Free on iTunes box on the bottom of the iTunes Store page for interesting downloads, or if you have an iPhone or iPod Touch, watch the popular Free downloads on the Apps page.
 
Kama inasumbua fungua mpya utaona hiyo option

Sent from my iPhone 4S using JamiiForums app
 
Mheshimiwa Brakelyn,
Nikifika stage ya Billing Information....
Inatokea,
Visa
MasterCard na
Amex.
Haitokei option ya Discover n None.
Thanks!

Sent from my iPad using JamiiForums

Jaribu hiyo ya kutumia computer inaweza ikakusaidia ingawa sina uhakika!!
Kuna rafiki yangu naye nilimletea iPad mini kutoka nje ikamsumbua kama hivyo hivyo kucreate account mpaka nikampa username na password yangu atumie kudownload hizo free software

Sent from my iPhone 4s using JamiiForums
 
Nielimishe hapo inawezekana mtu uka mpa username na password yamtu mwengine ikafanya kaz?
 
Ndio inawezekana na username na password yangu inatumiwa na rafiki zangu wawili na huwa anadownload software vizuri tu bila matatizo yoyote

Sent from my iPhone 4s using JamiiForums
 
sasa kwa nini usiingize tu hizo paymement details, kama unadownload free apps hawatakata pesa, au haunaga kabisa mpango wa kuwachangia developers hata application ya buku?!
 
Payment Details zilizopo kwenye simu hii, kwa Tanzania hazipo bado. Ingekuwa hivyo c fresh tu bro, mbona charges zenyewe si kubwa kaka!

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Hizi simu, iPad n Mac ni tamu sana, tatizo features nyingi bado huku kwetu

Sent from my iPad using JamiiForums
 
kama imekataa directly kwenye simu itabidi ujaribu kwa kutumia iTunes kwenye computer..
fuatilia hizi steps:

Open iTunes, and click the iTunes Store link on the left.
sshot6101.png

Click the App Store link on the top of this page.
sshot619.png

Select a free app to download. A simple way to do this is to scroll down to the Top Free Apps box on the right side, hover your mouse over the first item, and click on the Free button that appears when you hover over it.
sshot621.png

A popup will open asking you to sign in with your Apple ID. Click "Create New Account".
sshot622.png

Click Continue to create your account.
sshot623.png

Check the box to accept the Store Terms and Conditions, and click Continue.
sshot624.png

Enter your email address, password, security question, and date of birth, and uncheck the boxes to get email if you don't want it…then click Continue.
sshot20100318204252.png

Now, you will be asked to provide a payment method. Notice now that the last option says None! Click that bullet option…
sshot626.png

Then enter your billing address. Simply enter your normal billing address, even though you are not entering a payment method. Click Continue and your account will be created!
sshot627.png

If you get the Address Verification screen just verify your county and click Done.
sshot20100318204726.png

An email will be sent to you to verify your account…
sshot20100318204833.png

Click on the link in your email to verify your account, iTunes will launch and you're prompted to enter in the Apple ID and Password you just created.
sshot20100318205524.png

Your account is successfully created!
sshot20100318205617.png

Now you can easily download any free media from iTunes. Keep an eye on the Free on iTunes box on the bottom of the iTunes Store page for interesting downloads, or if you have an iPhone or iPod Touch, watch the popular Free downloads on the Apps page.
Naomba msaada jinsi ya kuactivate iphone 4 ambayo ilfungwa na icloud yake hauijui
 
Very useful info. I almost did the same lakini sikukutana na option ya "None". Thanks let me try again if not again n again!

Sent from my iPad using JamiiForums
Download application inaitwa 3gu tool kwenye computer yako then unaunganisha usb cable ya simu yako kwenye kompyuta ukimaliza unadownload app yoyote kwenye compyuta then unakuja kumalizia kwenye aimu yako bila malipo
 
Back
Top Bottom