Katika hali ya kwenda na wakati nimeweka pc katika Library yangu ya nyumbani nahitaji kuchukua tahadhari kuzuia matumizi ya hatari maana nina vijana wadadisi sana. Nitashukuru kwa msaada wenu
Katika hali ya kwenda na wakati nimeweka pc katika Library yangu ya nyumbani nahitaji kuchukua tahadhari kuzuia matumizi ya hatari maana nina vijana wadadisi sana. Nitashukuru kwa msaada wenu
Mkuu wewe umechoka kuangalia?Katika hali ya kwenda na wakati nimeweka pc katika Library yangu ya nyumbani nahitaji kuchukua tahadhari kuzuia matumizi ya hatari maana nina vijana wadadisi sana. Nitashukuru kwa msaada wenu
Mkuu wewe umechoka kuangalia?
Yani lengo lako ni lipi hasa?
kwamba computer yako isitendeshwe dhambi na izo porn sites
au tu kudhbit tabia ya hao vijana?
lakwanza linawezekana ila la pili ni ngumu mkuu
mkuu ni tahadhari tu ni jukumu langu kuwalinda watoto dhidi ya maovu wa dunia hii
hapo umefail mkuu, fwata maelekezo ya snipa, hapo juu, ameeleeleza kiundani zaidi...
dunia ishakua kitaa kimoja, utawafungia kiivo ndo na utawajua, wataztunza kwenye flash au macds kibao tu mtaani.
chakufanya we waelimishe kiupole tu kiupole, sites za porn kwel zpo nying sana dunian, @89.com, na zngne nying.
zid omba kwa Mungu, shetan ashndwe na maovu yapungue, kama kuna hii sites saizi imeshakua blocked na mahoster wenyewe Antimia,ivyo ni jambo zuri.. ingawa techo ndo inayotuaribu zaidi.
kwa hilo swala lako ni maombi tu, ndo yanaweza fanya kazi.
Mkuu wewe umechoka kuangalia?
Exactly....unaweza mlea mtoto vizuri ila vitu vyengine vinakuja bila mtoto kutegemea. inawezekana mwanao haingii site za ngono ila rafiki yake au mtu mwengine akamtumia link bila mwanao kujua ni link ya nini then akaingia na kushawishika.pia janga jengine kubwa kuliko site za ngono ni watoto wanakutana na strangers ambao hawajali na kuwaharibu watoto, hizi system hazisaidii 100% ila ni muhimu kwa kila mzazi kumuekea mwanae watoto kushawishika ni dakika 2 tu, unampiga lecture now akikutana na mwengine anasahau yote uliomuambia. mi niliwahi tumia moja ya lightspeed ipo strict vibaya mno, almost site zote zinazohusu ngono na interaction wameziblock. wanaacha tu vitu kama youtube education na site za kielimu