Mkogoti TAPELI Mkubwa Joined May 3, 2020 Posts 2,415 Reaction score 3,927 Dec 6, 2020 #1 Wakuu habari zenu? Naomba kusaidiwa hapa kidogo maana nimeshindwa, ipo hivi nime update Google play music ndo mara nyingi nilikuwa naskilizia music nikishapakua online, ila baada ya update imekuja haitaki kuplay inaniandikia vitu ata sielewi tatizo lugha shida baba na kila nikibonyeza napelekwa huko ata sielewi
Wakuu habari zenu? Naomba kusaidiwa hapa kidogo maana nimeshindwa, ipo hivi nime update Google play music ndo mara nyingi nilikuwa naskilizia music nikishapakua online, ila baada ya update imekuja haitaki kuplay inaniandikia vitu ata sielewi tatizo lugha shida baba na kila nikibonyeza napelekwa huko ata sielewi
Mkogoti TAPELI Mkubwa Joined May 3, 2020 Posts 2,415 Reaction score 3,927 Dec 6, 2020 Thread starter #2 Tom McCarthy said: Delete/Clear update... Pakua App ya kusikilizia muziki. Click to expand... Ipi hiyo inaitwaje
Tom McCarthy said: Delete/Clear update... Pakua App ya kusikilizia muziki. Click to expand... Ipi hiyo inaitwaje
Jackson94 JF-Expert Member Joined Sep 14, 2016 Posts 502 Reaction score 591 Dec 6, 2020 #3 Mkuu mbona mimi nimeiuptade sasa hvi tu na Google Play Music inafanya kazi ksama kawaida.?
Mkogoti TAPELI Mkubwa Joined May 3, 2020 Posts 2,415 Reaction score 3,927 Dec 6, 2020 Thread starter #4 Jackson94 said: Mkuu mbona mimi nimeiuptade sasa hvi tu na Google Play Music inafanya kazi ksama kawaida.? Click to expand... Mi kwangu huku imeniletea hivyo yani duu
Jackson94 said: Mkuu mbona mimi nimeiuptade sasa hvi tu na Google Play Music inafanya kazi ksama kawaida.? Click to expand... Mi kwangu huku imeniletea hivyo yani duu
racka98 JF-Expert Member Joined Jul 7, 2020 Posts 1,042 Reaction score 1,547 Dec 6, 2020 #5 Okwanyo58 said: Mi kwangu huku imeniletea hivyo yani duu Click to expand... Google wanaiua Play Music achana nayo. Kuna YouTube music sasahv. Download youtube music inaplay audio freshy tu kma Google Play music. Link: https://play.google.com/store/apps/details?id=com.google.android.apps.youtube.music
Okwanyo58 said: Mi kwangu huku imeniletea hivyo yani duu Click to expand... Google wanaiua Play Music achana nayo. Kuna YouTube music sasahv. Download youtube music inaplay audio freshy tu kma Google Play music. Link: https://play.google.com/store/apps/details?id=com.google.android.apps.youtube.music