Wakuu, computer yangu imeanguka chini,na kupata nyufa kadhaa.Nilipoiwasha nimekuta kuna michirizi ya rangi imefunika karibu robo tatu ya screen na mistari mingine (horizontal).Naomba kujua nifanye nini cha haraka ili kunusuru hii PC yangu.Aina ya computer ni hp, natumia window7.Ahsanteni