Msaada tafadhali: Chuchu kuuma

Habari za Eid wapendwa,

Naombeni ushauri kwa anayejua, ni nini kinasababisha chuchu kuuma, mwenzenu chuchu zinauma mno na kuwasha, kipindi cha nyuma zilikuwa zikiuma labda nikiwa MP lakini sasa hivi zinauma tu bila sababu, kwa wanawake wenzangu huwa mnakumbana na hii hali?

Naombeni msaada tafadhali;
cc: espy
Paprika
emmyta
Sakayo
Valentina
miss chaga
Miss Natafuta
Nifah
............
............
...........

Nawengine wotee ila kama wewe ni ke
Mmmmmh Fibroadenosis hiyo, nenda hospital kafanyiwe vipimo vya Breast haraka sana
 
Haya ila naona aibu kumtolea doctor ziwa
Hahaa unaweza kuomba dokta wa kike, pale Regency Hospital wapo kama mfuko wako upo vizuri au bima au kampuni ikulipie. Mimi naomba nikusindikize kwa dokta kama mwanaume usikae nae peke yake sababu waonesha woga wa naniliu.
 
Nilisahau kukuuliza swali moja. Je kuna dawa za uzazi wa mpango au tuite za kuzuia mimba unatumia? Hizo zinaweza kuwa zinasababisha mabadiliko ya homoni hivyo kusababisha hayo maumivu hiyo kitu. All in all, I insist you go visit a gynocologist.
 
Usijali! Mliambiwa vidume tunapowanyonya chuchu tunawapunguzia maambukizi ya kansa, so maumivu unayopata now ndo kinga ya huo ugonjwa inafanya kazi ake......

Mimi ndo nmesema!!...
 
Wewe unasumbuliwa na hili tatizo:-
http://www.m.webmd.boots.com/a-to-z-guides/fibrocystic-breast-disease
Natumaini kidhungu kinapanda. Mwisho wa siku ni hali ya kawaida usiogope. Hapo umeshauriwa kupunguza matumizi ya kahawa n.k. Pia ukienda hospital unaweza pewa vidonge vya kubadili hizo homoni ku-balance. Kama vipi mwisho kabisa huu ushauri wangu sio wa dokta, jilipue uzae at least once inaweza kubadili hali kama yale maumivu yenu ya tumbo.
 
Japo umetubagua ila itakua nidalili mbaya nakushauri kama una mume mshauri awe ana zinyonya wataalamu hudai kua inasaidia kuondoa tatizo hilo nakama huna mume jaribu kuwaomba wanaume wakunyonye kama una jirani mashemeji nk.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom