Msaada tafadhali: Chuchu kuuma

Mehek

JF-Expert Member
Feb 26, 2017
7,487
2,000
Habari za Eid wapendwa,

Naombeni ushauri kwa anayejua, ni nini kinasababisha chuchu kuuma, mwenzenu chuchu zinauma mno na kuwasha, kipindi cha nyuma zilikuwa zikiuma labda nikiwa MP lakini sasa hivi zinauma tu bila sababu, kwa wanawake wenzangu huwa mnakumbana na hii hali?

Naombeni msaada tafadhali;
cc: espy
Paprika
emmyta
Sakayo
Valentina
miss chaga
Miss Natafuta
Nifah
............
............
...........

Nawengine wotee ila kama wewe ni ke
 
Titicomb

JF-Expert Member
Jan 27, 2012
9,283
2,000
Inatokea hivyo kwa wajawazito pia. Umeona MP yako mwisho lini? Japo Men umetubagua tusichangie.
 
Titicomb

JF-Expert Member
Jan 27, 2012
9,283
2,000
Kama sio mimba ni mabadiliko ya homoni mwilini mwako husababisha hiyo kitu pia, au maambukizi(infection) ktk chuchu. Sasa kama infection wahi hospital isijekuletea saratani. Sidhani kama hiyo ni saratani(cancer). Muone dokta haraka. Kama upo Dar nenda hospital ya mnazi mmoja pale. Au nenda hospital yeyote kaonane na gynocologist.
 
bigmind

JF-Expert Member
Oct 28, 2015
12,326
2,000
Habari za Eid wapendwa,

Naombeni ushauri kwa anayejua, ni nini kinasababisha chuchu kuuma, mwenzenu chuchu zinauma mno na kuwasha, kipindi cha nyuma zilikuwa zikiuma labda nikiwa MP lakini sasa hivi zinauma tu bila sababu, kwa wanawake wenzangu huwa mnakumbana na hii hali?

Naombeni msaada tafadhali;
cc: espy
Paprika
emmyta
Sakayo
Valentina
miss chaga
Miss Natafuta
Nifah
............
............
...........

Nawengine wotee ila kama wewe ni ke
Wewe nae unaacha wataalam wa hizi mambo huko unaita hao vilaza kimbia chumbani nakuja na dawa..!
 
Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,335
2,000
Habari za Eid wapendwa,

Naombeni ushauri kwa anayejua, ni nini kinasababisha chuchu kuuma, mwenzenu chuchu zinauma mno na kuwasha, kipindi cha nyuma zilikuwa zikiuma labda nikiwa MP lakini sasa hivi zinauma tu bila sababu, kwa wanawake wenzangu huwa mnakumbana na hii hali?

Naombeni msaada tafadhali;
cc: espy
Paprika
emmyta
Sakayo
Valentina
miss chaga
Miss Natafuta
Nifah
............
............
...........

Nawengine wotee ila kama wewe ni ke
KAMA SIO MIMBA, BASI WAHI HOSPITAL HATARI SANA UNAWEZA KUTA NI DALILI ZA CANCER YA MATITI NA MAMBO KAMA HAYO
 
Mehek

JF-Expert Member
Feb 26, 2017
7,487
2,000
Kama sio mimba ni mabadiliko ya homoni mwilini mwako husababisha hiyo kitu pia, au maambukizi(infection) ktk chuchu. Sasa kama infection wahi hospital isijekuletea saratani. Sidhani kama hiyo ni saratani(cancer). Muone dokta haraka. Kama upo Dar nenda hospital ya mnazi mmoja pale. Au nenda hospital yeyote kaonane na gynocologist.
Haya ila naona aibu kumtolea doctor ziwa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom