Msaada tafadhali, anataka kuniroga

Msaada tafadhali, anataka kuniroga

Jana jirani yangu mwanamkekaniita ndani kwakenimrekebishie tv yakenikaenda kwelinikamrekebishia nimemalizanataka kuondoka akanizuiaakaachia khanga yake hukundani hajavaa kitu na baridi hilitukaanza kuburudika wakatitunaburudika mumeweakagonga mlango harakaharaka nikajificha yule mwanamke akamfungulia mlango mwanaume akapitiliza mojakwa moja chooni nikavaa fastanikakimbia kumbe niliisahauboxer yangu kwa kuwa kwetuuswazi leo naamka naona ileboxer kaianika na tangazo juu"mwenye hii boxer ajitokezeasipojitokeza baada ya sikutatu namroga" hapa sina rahakabisa na baadhi ya marafikiwangu wanaijua kwa kuwanavaaga mlegezo sijuinijitokeze au ningoje kurogwa
yuko humu JF?
 
haha ha ha lazima akufanye ma..sha ndo mana mnaambiwa mu baki njia kuu
 
Uliona raha kum gegeda mke wangu eeee..
Imebaki siku moja,mbuzi we
lazima nikugeuze kiazi
 
Hakuna kitu hapo mkuu, endelea na mambo yako, hana lolote huyo, tena nenda katungue boxer yako uivae kabisa
 
Mbn maandishi umeunganisha sana kama housgirl wangu?
 
Naona karogwa,sio ndiye huyu anaepita kavaa chupi kichwani huku anaimba "tv imeniponza ~7"oyooo yamekuwa.
 
Tafuta udongo alokanyaga chota nyayo zake ogea/kunywa mara 3 kwa siku 3 over,siku nyingine usirudie tena
 
kama ukifa msalimie Nyerere, mwambie wanataka serikali 3 huku
 
Uzuri wa demokrasia. Mawili kgegedwa au kurogwa. Chagua !!!.
 
Jirani yangu mwanamke.....mumewe kagonga mlango! wewe unamiliki kiwanda cha uongo. kwanini hujasema mke wa jirani yangu...
 
Back
Top Bottom