Msaada tafadhali, anataka kuniroga

Kama unaamini kuna kuloga jitokeze kma huamini io mambo mpotezee
 

mh polee jisalimishe usalimike..ila ulichofanya uache! kwani akili yako haina maamuzi? ukivuliwa nguo ndo uchukue? hebu kapime HIV/AIDS then ulete majibu hapa..
 
Wewe umeshalogeka tayari kwa hisia zako kuhusu uhalifu ulioufanya na kwa kuamini kwamba utalogwa. Huyo mwenye mke hahitaji kufanya zaidi. Ndiyo maana hata maneno umeyaunganisha katika simulizi yako - na hivi karibuni utaanza kuugua na kujipeleka kwa waganga.
 
elimu yako darasa la ngap?? Kama kuandika kwenyew F, hekima na busara F, akili ya kuzaliwa F , uzinzi A. Sasa unafikir unafaida gani ww si bora urogwe tu

mwenzako hapo kapaniki ungempa ushauri acje pata majanga yaliyo mkuta mchepukon
 
ha ha ha ha a ha ha subiria kulogwa au ujitokeze uliwe mzigo
 
hivi inakuwaje mke wako anamegwa,badala ya kummaindi mkeo unammaindi mwanaume utadhani kambaka mkeo kumbe kamvulia pichu kwa madaa kama stripper kwenye pole!
 
hivi inakuwaje mke wako anamegwa,badala ya kummaindi mkeo unammaindi mwanaume utadhani kambaka mkeo kumbe kamvulia pichu kwa madaa kama stripper kwenye pole!

hapo ndo nashangaa
 
Mbavu zngu jmb.khaah!...kwl binadam hatujiekew.wkt wa Yesu mwanamke alofumaniw mnakumbuk Bwana aliagiza nn!?ss ninyi ni nan mpk mumpatie hukumu?!acheni uduanzi amaye hajawah kutenda dhambi na amnyooshee mkono.
Pole ila mchepuko co dili bak njia kuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…