MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,553
- 41,467
Jana jirani yangu mwanamke kaniita ndani kwake nimrekebishie TV yake nikaenda kweli nikamrekebishia nimemaliza nataka kuondoka akanizuia akaachia khanga yake huku ndani hajavaa kitu na baridi hili tukaanza kuburudika wakati tunaburudika mumewe akagonga mlango haraka haraka nikajificha yule mwanamke akamfungulia mlango mwanaume akapitiliza moja kwa moja chooni, nikavaa fasta nikakimbia kumbe niliisahau boxer yangu kwa kuwa kwetu uswazi leo naamka naona ile boxer kaianika na tangazo juu "mwenye hii boxer ajitokeze asipojitokeza baada ya siku tatu namroga" hapa sina raha kabisa na baadhi ya marafiki wangu wanaijua kwa kuwa navaaga mlegezo sijui nijitokeze au ningoje kurogwa
nb haka kastori nilikatunga tu
nb haka kastori nilikatunga tu