Msaada Tadhali!

Msaada Tadhali!

Shinto

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2010
Posts
1,781
Reaction score
98
Wajameni mi kidhungu kinanipiga chenga kidogo, naomba msaada wenu kwenye haya nisije nikaumbuka!<br />
<ol class="decimal"><li>Wale wadada watumishi kwenye ndege munamuita hostess, je wakiume anaitwa host?</li><li>Mhudumu wa bar wa kike mnamuita barmaid, wakiume nimuite hivyohivyo?</li></ol>
 
1- umepatia,mtumishi wa kiume ndegeni anatwa host
2-mhudumu wa kiume ni barman
NOTE: vizungu vya st kayumba hivi,ngoja waje wajuba
 
cjui nani ana dictionary atujuze jamani
 
Ndugu kama si masihara, ni kweli unahitaji msaada ungepeleka kwenye jukwaa la lugha. Habari za kwenye ndege sijui huwa naziona tu zikiwa hewani lakini kuhusu wahudumu wa bar huku uswazi kwetu tunawaita weita haijalishi ni wa kike au kiume.
 
weita ndio jina linaloonekana ni nzuri kuliko barmaid.
 
Back
Top Bottom