Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,254
- 44,363
dola 150 hadi 300, ukitafuta kwenye sale sometime chini ya hapo unazipata pia, zote ni inch 8 na zinakubali pen, na kama unajali zaidi kalamu tafuta kalamu za wacom, hio asus vivotab note 8 na toshiba encore 2 zinakubali.Nashukuru na bei zake zime range vipi?
kwa mpya hupati, na used pengine unaweza pata surface pro 4 yenye i7 na gpu ya iris, tena hio video editing utumie software za quick sync. ila ni ngumu sana kuipata kwa bei hio.Chief-mkwawa, nahitaji 2in 1,iliyo powerful enough to run games na kufanya video editing, kwa hii tanzania nitafute ipi na wapi? Budget kati ya 1m to 1.5m
Mkuu vp kuhusu HP Pavilion Notebook 17-G162NO?una laptop? maana tablet za laki 8 kushuka za windows zinatumia atom na hazina nguvu sana ni za kufanyia mambo madogo tu.
kwa ambazo ni maarufu zinapatikana hapa bongo ni asus transformer T100 na acer aspire switch.
sema hizi ni 2 in 1
kama unataka tablet kabisa ambayo haina hata keyboard zipo kama dell venue 8 pro, toshiba encore, asus vivotab, lenovo miix etc
hizo transformer ukicheki zoomtanzania na site nyengine za online zilo kibao unaweza wapigia simu ukanunua kwao mfano hii kwa 570,000
Computers for Sale in Tanzania | ZoomTanzania
ina Amd 8670P? sio mbaya sana matumizi ya kawaida itafanya. itategemea lakini unafanya niniMkuu vp kuhusu HP Pavilion Notebook 17-G162NO?
Mkuu, kwahyo unashauri ninunue desktop? Je laptop ya kawaida kwa ajili ya hizo kazi na budget hiyo hiyo?kwa mpya hupati, na used pengine unaweza pata surface pro 4 yenye i7 na gpu ya iris, tena hio video editing utumie software za quick sync. ila ni ngumu sana kuipata kwa bei hio.
tatizo la Tanzania mkuu ni umeme, desktop ya 1.5M ungepata ya maana sana, ila unakuta siku umeme unakata unarudi, au unakaa siku nzima haujarudi kama una kazi inakuwa ni tabu tu.Mkuu, kwahyo unashauri ninunue desktop? Je laptop ya kawaida kwa ajili ya hizo kazi na budget hiyo hiyo?
Kwenye sale ndo wap mkwawa?dola 150 hadi 300, ukitafuta kwenye sale sometime chini ya hapo unazipata pia, zote ni inch 8 na zinakubali pen, na kama unajali zaidi kalamu tafuta kalamu za wacom, hio asus vivotab note 8 na toshiba encore 2 zinakubali.
bei gan....afu hi ni surface rt au?
mara nyingi sikukuu, siku kama black friday. au sale za kawaida za hapa na pale unapata vitu kwa bei rahisi.Kwenye sale ndo wap mkwawa?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Ila chief mkwawa ni nyoko, huwa nnajiuliza anapataje ujuzi wa vitu vyote hivi, laptops, simu, sd cards n.k, anasoma sana ipo siku tuamue kumlipa hata kidogo, huwezi kuamini hicho ki tablet changu nilichokiposti nilikua nakiona cha kisasa ila baada ya kumsoma na kautafiti kidogo nimeamua nitampa mtoto wangu labda atakuja kuwa hacker baadae. Chief-Mkwawa respect
U knows everything in this field ATLEAST
Surface RT nimeshaiuzabei gan....afu hi ni surface rt au?