msaada tablet isiyo na sehemu ya line

oxlade

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
601
Reaction score
96
naomba mnisaidie hii tablet ntaitumiaje especially nkiwa sehemu ambayo haina wireless manq nmeletewa na haina hiyo sehemu...ina sehemu ya memory card ndogo tu. .
 
kama imeandikwa wifi tu,ujue sehem ambayo haina wifi hutaweza kutumia,ila kama ina wifi na 3g,huwa zina sehem ya kuweka line,labda ujaribu modem.
 
me ninayo ina wifi t ila nikiweka modem ya 3g ina onesha 3g xaxa haina program cjui itakuaje hapo
 
hii ina wifi na ina sehemu ya 3g mobile network na inasema niset apn
 
tablet ikiwa na sehemu ya 3g na kuset vpn haina maana lazma iwe na sehemu ya kueka line. Mbona computer zinasuport 3g lakini hazina sehemu ya line?

Ukiona tablet ina setting za 3g lakini Haina sehemu ya line inabidi utumie external device kama modem kuconectia.
 
Vtouch......mchina flani hivi
 
Weka jina kamili ya tablet yako ndgu
Ili tusaidiane kupata ufumbuzi


Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
Kama ina sehemu ya kuweka 3g moderm kuset APN mbona kazi ndogo sana! Kama ni andrioid nenda Kwenye settings tafuta mahali palipoandikwa Mobile Settings halafu Access Point Network. Sehemu ya juu kabisa andika jina la service provider, Sehemu ya APN andika neno Internet, Kuna sehemu wameandika Proxy futa kuna vinamba fulani acha wazi, na sehemu ya port futa pia halafu serve
AND you are good to go
 
naomba mnisaidie hii tablet ntaitumiaje especially nkiwa sehemu ambayo haina wireless manq nmeletewa na haina hiyo sehemu...ina sehemu ya memory card ndogo tu. .

Mkuu siku hizi kuna modem za WiFi,ukiwa nayo unakula wireless network bila tatizo,cheki na jamaa wa Zantel wanazo nadhani zinauzwa kwenye 250,000 hivi,speed ya kufa mtu.
 
mimi yangu ni toshba tablet haina sehem ya line ni wifi t nkieka modem inaonesha rang ya 3g ni toshiba T100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…