Wanajamii naomba mnisaidie majibu ya haya maswali coz nlihudhuria interview moja na nikaulizwa maswali yenyewe ni haya
1. If you were shrunk to the size of a pencil and put in a blender, how would you get out?
2. What do WOOD and ALCOHOL have in common?