Msaada: Suzuki every VS Suzuki jimny.

BG Seme

JF-Expert Member
Oct 29, 2014
360
260
Naomba msaada wa ushauri nataka kanunua gari moja wapo kati ya Suzuki every au Suzuki jimmy, Je! ipi ni nzuri zaidi kwa maana ya matumizi ya mafuta, bei na uimara wa gari.

Ahsanteni sana.
 
Wadau Mmesema Suzuki Jimny Ni CC 660
Kama Suzuki Kei?
Kwenye Ujazo Wa Engine Ya Suzuki Jimny Nadhani Ni Zaidi Ya 660
 
Naomba msaada wa ushauri nataka kanunua gari moja wapo kati ya Suzuki every au Suzuki jimmy, Je! ipi ni nzuri zaidi kwa maana ya matumizi ya mafuta, bei na uimara wa gari.

Ahsanteni sana.
Hilo Suzuki every lina muonekani mbaya aiseee. Chukua Jimny, Cousin sister wa Prado, kwa upande wa off road. Sema duh, unasikiaje vishimo. In short Jimny hamna comfortability. Limekaa ki kazi kazi. Mafuta linanusa aisee hata Passo haioni ndani. Lakini kama wewe unataka kuwa chick magnet, itakuwa dead. But its better than walking.

Good luck

-callmeGhost
 
Back
Top Bottom