MSAADA: Sumu/Dawa ya kuua mchwa ni ipi?

Lupweko

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Posts
25,159
Reaction score
27,299
Wakuu, mchwa wamevamia sehemu ya dari la geto langu ambapo upande huo sikutumia mbao ambazo ni treated. Naombeni mnipe ushauri nitumie mbinu gani waweze kuangamia. kama kuna dawa ya sumu ya kuwaua naombeni mnitajie jina lake na inapatikana maduka gani ukiwa jijini Dar.

Natanguliza shukrani zangu
 
Daah,MODS naomba mnisaidie kuswap hayo maneno ya kwenye title isomeke "ya kuua mchwa"
 
Jamani kama kuna mtu amefanikiwa kuwamaliza mchwa wala mbao naomba kujua jina la dawa.
 
tumia mafuta ya taa kaka ndo kiboko yao
 
Jamani kwa anayejua dawa ya mchwa anisaidie taaafadhali.
Chukua maji lita moja kisha changanya na matone kumi ya utomvu wa mnyaa changanya kisha nyunyiza mahali mchwa walipo. kwishaa khabari yao mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…