Kama upo Dodoma mjini, panda gari za kwenda nkuhungu, au zinazoenda stand mpya ya mnadani, ukipanda tu mwambie konda nashuka jkt yani kwenye hiyo gari utakayopanda usikae hata nyuma maana sio mbali itoshe kusema ipo bahi road karibu na shule ya msingi kizota