Msaada : submeter MT electrical

feyzal

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Posts
8,519
Reaction score
17,178
Habari ya wakati huu wakuu.

Samahani naomba msaada anayefahamu zinapouzwa submeter kampuni hii Ya MT electrical nina shida na namba za wauzaji au operator hapa ninapo kaa nimeikuta hii meter na kwa bahati mbaya mwenye nyumba hajui fundi alinunua wapi na hana contact zake sasa sijui hata umeme naununuaje na mpangaji wa mwanzo amehama na hakuna contact zake.

Hata kama unatumia hii kampuni unaweza ukanisaidia application ya kununulia umeme natanguliza shukrani.

Naambatanisha na picha
 

Attachments

  • IMG-20250604-WA0001.jpeg
    142.5 KB · Views: 15
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…