Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 13,140
- 27,100
Wakuu sijawah pata hili tatizo kabla, nahisi kuvurugwa kabisa hapa, ni hivi leo kuna mahali nilikuwa napandisha kilima, sasa mvua za leo na huu utelezi ilinilazimu kukanyaga mafuta kwa nguvu, kilichotokea nilikwamba mbele na gari ikazima, nilivyorudi nyuma na kuiwasha tena, taa ya check engine haikutoka tena.
Kwa wazoefu, naomba way foward kipi cha kufanya kabla sijawapelekea wataalamu.
NB; Gari inatembea kama kawaida sijanotice mabadiliko yeyote.
Asanteni
Kwa wazoefu, naomba way foward kipi cha kufanya kabla sijawapelekea wataalamu.
NB; Gari inatembea kama kawaida sijanotice mabadiliko yeyote.
Asanteni