Heshima kwenu wakuu.
Kama mada inavyojieleza naomba mnisaidie app inayoweza kurekodi internal sound/audio. Au sauti wimbo unaocheza online kwenye site za music ambazo hazina option ya ku-download.
Ni app gani inaweza kufanya kazi hiyo kwa ufasaha zaidi wakuu. Natanguliza shukran zangu kwenu wakuu.
Thanks a lot.