Upo wap? Tafta Dr wa mifugo afanye spaying .jamani wataalm wa wanyama naombeni msaada
kuna stray cat ameinukia kwangu mdogo sana na kila nikimfukuza anarudi. nimeamua kumhudumia chakula kama paka wangu kabisa. kila siku maziwa samaki ni normal kwake . Baadae nimekuja kugundua ni kajike na sitaki paka wazaliane kwangu maana sina pa kuwapeleka. naombeni suluhisho kama kuna njia yoyote ya kumzuia asizae hapo kwangu baadae
Hiyo ni bahati,ndo maan ya balacudajamani wataalm wa wanyama naombeni msaada
kuna stray cat ameinukia kwangu mdogo sana na kila nikimfukuza anarudi. nimeamua kumhudumia chakula kama paka wangu kabisa. kila siku maziwa samaki ni normal kwake . Baadae nimekuja kugundua ni kajike na sitaki paka wazaliane kwangu maana sina pa kuwapeleka. naombeni suluhisho kama kuna njia yoyote ya kumzuia asizae hapo kwangu baadae
Upo wap? Tafta Dr wa mifugo afanye spaying .
Dar upo sehm gan .nikuelekeze wap upeleke au wapi ufikiweNipo Dar nje kidogo ya jiji. Nashukuru kwa ushauri ngoja nikipange wapi pa kuwnzia maana hawa jamaa hawaonekani kabisa
hahaha daah jf hatari,nasubiria na mwenye wazo la kutumia lady pepeta kwa pakaUnapomuwekea chakula, mlishe na vile vidonge vya uzazi wa mpango... Nusu kidonge kwa siku!