Msaada: Sony Flat Screen Ina Restart

kiduchu

Member
Joined
Feb 25, 2008
Posts
46
Reaction score
19
Naomba ushauri kwa wataalamu wa TV. Nina Sony Flat Screen ya miaka 4 hv. Imepata tatizo, ikiwashwa inafanya kazi kwa dak kama 10 halafu inajizima na ku-restart, lakini haiendelei kufikua kupata signal. Yaani inajirudia rudia ku-restart bila kupata signal ya pucha. Ukizima power source kwa muda kama dak 10 na kuiwasha tena inafanya kazi vizuri jes dak kadhaa na kujizima tena. Na kurudia kuji-restart. Naomba ushauri kwa wataalamu.
 
Tatizo ni card inayoitwa invetor board ( kuna component baada ya muda Ina heat up na kudraw current kiasi kikubwa kufanya power supply kujizima automatic. Kisha kujiwasha tena na tena pale power supply protection circuit inapoisi kiasi kisichotarajiwa cha current kunahitajika na hiyo fault circuit ya invetor card.unapoizima kwa mida joto linaisha katika hiyo fault circuit,hivyo basi ukiiwasha baada ya mida itawaka tena mpaka joto liongezeke na kuanza tena kufyoza too much current.
Invetor card zipo zinapatikana hapa Dar kuna Fundi ataweza kureplace Kama utaitaji ni pm nikupe no yake
 
A- Power Board
B- T-con Board
C- EMI Filter board (In other designs this board is built into the Power Board)
D- Inverter Board (In some designs this board is built into the Power board and is called as I/P board)
E- MainBoard
F- Jackpack
G- Side Key Panel/Power Control/Remote Receiver Unit (IR/LED control)
H- Left Speaker
I- Right Speaker
J- LCD panel
K- LVDS cable
 
See the pic
 

Attachments

  • lcdtv30.jpg
    35.6 KB · Views: 72
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…