sikiolakufa
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 411
- 55
Models number muhimu, Sony Ericsson Wana touch screen nyingi. Kwa kifupi zote zinatumia Android so unarun app za android. Kwa banking sijui unamaanisha minimum, kuwa specific.
kwa benki nina maanisha hutuma ya internet banking pamoja na sim banking ya crdb....