Wakuu msaada nna battery n 100 na panel ya watts 100 pia nna power control sasa ninapotumia has a nyakati za usiku zile zikishuka mpaka volt 10 TV inakuwa inakata una taa zinapungua nguvu he shida ni nini au nifanyaje kimatumizi walau mpaka battery ibaki na volt 1 pia ningeombakufahamu kuhusu invertor je nzuri ni IPI dukani au kufuma maana wengine wanasema hii ya kienyeji ni nzuri je ni kwanini