Wakuu ninaomba mwenye taarifa za kuhusu upatikanaji wa soko la tangawiz ndani na nje ya nchi.
Tumelima na zitakua tayar kuvunwa anytime kuanzia sasa lkn mpaka kufikia hapa nkiandika hii thread soko la uhakika bado halijapatikana nawaombeni saana kwa yeyote mwenye taarifa za upatikanaj wa soko la hii bidhaa naomba msaada.