WanaJF naomba msaada kwa mwenye PC software za huawei C 3000 nina shida nayo maana CD yake haisomwi na CD ROM yangu baada ya kupata scratches, tafadhali nisaidieni ili niweze kutumia computer yangu ya nyumbani kwa internet na hii modem yangu.Aksanteni