Habari wanajamii,
Naomba kwa anaejua program/software ya kuflash na kuformat android mobile na simu zingine anisaidie nimejaribu kugoogle lakini sijaweza kupata maana nikizipata hapa kwenye eneo langu ni bonge la fursa.
Msaada tafadhali
mkuu utazima simu za watu...
Ki vipi kcamp??
unauwelewa wowote kweny Kuflash Simu?
Huyo. Muache.... Ata brick simu za watu. Mtoto akililia wembe apewa.
tumia volcano boxHabari wanajamii,