Msaada smartphone

kivyako

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
14,341
Reaction score
12,068
Simu yangu haizimi data, unazima ila baada ya sekunde kadhaa unakuta iko ON, hivo chaji, bundle ni shida! mwenye msaada jinsi ya kufanya naomba tafadhali.
 
Sana sana tecno,ugonjwa huo unaweza kuutoa kwa kuflash. Kama unao ujuzi kidogo unaweza kufanya mwenyewe
…………………………………………………………………………………………
1.Tafuta SP flash tool
2.Scatter file
Na muda kidoogo wa kusoma namna ya kuflash
 
Thanx mkuu
 
unavosema kuflash ni kwa computer au kwa simu yenyewe?
 
Namaanisha kwa computer mkuu.
 
unavosema kuflash ni kwa computer au kwa simu yenyewe?

Kwa mediatek.
Ukitaka kuflash kwa simu lazima simu yako uwe umeweka clockwork mode recovery utafanikiwa.
NB: Njia hii salama kwa simu yako kuliko kutumia sp flash tool.
 
Kwa mediatek.
Ukitaka kuflash kwa simu lazima simu yako uwe umeweka clockwork mode recovery utafanikiwa.
NB: Njia hii salama kwa simu yako kuliko kutumia sp flash tool.
Mkuu namimi nisaidie bhana..kakimeo kangu Samsung trend haka-lunch Google play...nishafanya mambo mengi km clear cach,unsting to reinstlng..kifupi imenichosha...sasa nataka kuirooot nifanyeje?software gani nitumie nisaidie mkuu.
 
Samsung trend namba gani?
 
si ndio anaondoa tatizo

mi sijaelewa ..yani ukiroot simu tatizo linaishaje ? nipe uhusiano wa tatizo na rooting acces hapo..aroot simu then what next..embu funguka mpka mwisho
 
Samsung trend namba gani?

Naomba na Mimi mnisaidie: simu yangu Ni Nokia Lumia 520, nikiload au kuapdate chochote inaniambia error na inaleta namba Fulani. Sasa hivi hata whatsapp imegoma
 
Simu yangu haizimi data, unazima ila baada ya sekunde kadhaa unakuta iko ON, hivo chaji, bundle ni shida! mwenye msaada jinsi ya kufanya naomba tafadhali.

Tecno....
 
Hauhitaji kuflash simu yako, tatizo ni kwamba umekua ukidownload apps mahali tofauti na Playstore, sana sana launcher ama antivirus. unachotakiwa kufanya ni factory reset. usijaribu kutumia Flashtool hata kidogo kama hujawai itumia tena.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…