Msaada Smart TV Ina sleep Kila baada ya muda fulani

Msaada Smart TV Ina sleep Kila baada ya muda fulani

belionea

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2014
Posts
1,053
Reaction score
923
Anajua jinsi ya ku turn off hiyo issues ya kusleep kwa smart tv anielekeze maana nimejaribu ku turn off timer lakini tatizo lipo pale pale
 
Anajua jinsi ya ku turn off hiyo issues ya kusleep kwa smart tv anielekeze maana nimejaribu ku turn off timer lakini tatizo lipo pale pale
Smart TV zina sensor ya ku-detect movement ndani ya radius fulani kutoka pale ilipo, ili iweze kujua kama kuna mtu anaangalia program ama la.

Ikitokea umepita muda mrefu wa kutosha na hakuna mtu anayeangalia TV wakati yenyewe iko ON, itajua kuwa hakuna mtu anayenagalia program na hivyo automatically itaswitch kwenda kwenye SLEEP MODE kwa ajili ya ku-save power

Unless kama tatizo lako ni kitu kingine tofauti na hiki nilichoeleza hapa
 
Ok sawa mkuu nimekuelewa
 
Mkuu kuna eco mode kwenye main menu, hiyo setting ndio inafanya TV ijizime kama ikiwaka mda bila kuona movement kwa hiyo inabidi ufunge Auto power option

Ukiona tatizo bado lipo basi itabidi uangalie OS apdates huenda kuna tatizo
Hiyo ya kuzima timer kama imeshindikana basi angalia na hizo
Ilishindikana kabisa itabidi usome TV brand yako kwenye website yao
 
Itakuwa ameifunga juu sana kiasi kuwa sensor inashindwa ku detect movement
 
Kwa kawaida, kuna njia mbili za kuondoa tatizo la sleep mode kwenye smart TV:

1. Kuondoa sleep mode kupitia settings: Unaweza kujaribu kuondoa sleep mode kwa kuingia kwenye settings za TV yako. Kwenye settings, utaona chaguo la "Sleep Mode" au "Auto Power Off". Kama TV yako ina chaguo hili, unaweza kulibadilisha kuwa "Off" au kuweka kipindi kifupi sana cha muda kabla ya TV kutoka kwenye sleep mode. Kama huna uhakika jinsi ya kufanya hivyo, unaweza kutafuta mwongozo wa mtumiaji wa TV yako mtandaoni au kuwasiliana na msaada wa wateja wa mtengenezaji wa TV yako.

2. Kuzima sleep mode kwa kubofya kwenye remote control: Kama kuna tatizo na chaguo la sleep mode kwenye settings, unaweza kujaribu kuzima sleep mode kwa kubofya kitufe cha "Exit" au "Return" kwenye remote control yako. Kitufe hiki kinafanya kazi kwa kawaida kwa baadhi ya TV na kinaweza kusaidia kuondoa sleep mode.

Kama hatua hizi hazisaidii kutatua tatizo lako, unaweza kujaribu kurekebisha tatizo kwa kufanya upya mipangilio ya TV yako au kuiweka upya kwenye hali ya kiwanda. Kumbuka kuwa kufanya upya mipangilio inaweza kuondoa mipangilio yako yote ya TV, hivyo hakikisha unatumia chaguo hili kwa tahadhari na kuhifadhi mipangilio yako muhimu kabla ya kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom