Naomba msaada jamani laptop yangu inachaj slow sana yaani naweza kuwa naitumia hata masaa matatu mfulululizo lakini bado haijai....natumia dell vostro 1500

Tafuta chaja nyingine yenye specs hizo hizo ili kwanza ujue kama shida ni chaja. Pia hakikisha unashindilia vizuri ile pin ya chaja inayoingia kwenye laptop

Kwenye cm za nokia kuna program inaitwa flash message yaan ukim2mia m2 sms inafutka baada ya yy kuisoma je kwny android 2naweza ipata hyo program? Msaada