Msaada: Siwezi kudownload App yoyote Playstore

Wernery G Kapinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
381
Reaction score
131
Bila shaka mu buheri wa afya. Kinyume na hapo ni mwili tu kupitia katika changamoto fulani fulani ili kujiimarisha.

Simu yangu ina muda sasa, Play Store haitaki kudownload App yoyote. Yaani inasearch tu haitaki kumaliza. Inaweza kukaa siku nzima hata na ya pili. Sijafahamu nimeikorokochoa wapi. Tafadhali wataalamu mnisaidie katika hili. Aina ya simu ni mchina wa Tecno Spark 2

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cancel hapo kwenye cancel kisha install ten a
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…