Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,297
Asante Dragondreamx Google drive ni poa sana kwa ku save kweli hakuna haja ya memory card.
Sasa memory card ya nini wakati...
Kuna Google drive na clouds kibao
Habari shedede unapo sema kubadili una maana gani..? unataka kubadisha uwe una hifadhi app zako kwenye memory card au..?habar wanajamvi??
kichwa cha habar hapo nashindwa kabisa kubadili storage kutoka kwenye simu adi kwenye memory card simu yangu ni samsung galaxy j3(6) duos
msaada wanajf
Kwenye simu kuna kitu kinaitwa operating system mfano iyo adroide kazi yake niku manage memory kwenye simu ikiwa adroide yako niyakizaman jua kabisa app imeshapngiwa ukubwa wake kwenye memory pia aina uwezo wa kuinstall izo app kwny external memory apo cha msingi jaribu ku upgrade iyo operating system kama update ipo au uroot iyo simuhata simu yangu tecno w2 haina hiyo option nashindwa kuzihamisha App toka internal storage kwenda sd card.kama mwenye utaalamu atuelekeze tafadhali.
ndio mkuu nataka niki-download apps,music,videoz ziwe installed kwenye sd card nasio kwenye simu iyo ni kwasababu simu ina-space(storage)ndogo yenye ambayo haitoshi kwa matumizi yangu mkuuHabari shedede unapo sema kubadili una maana gani..? unataka kubadisha uwe una hifadhi app zako kwenye memory card au..?
mkuu ni kweli kabisa ukisemacho lkn tatizo linakuja pale nnapotaka ku-store files nilazima nitumie mb's na ambazo pengine zitatumia gb kalibia 35 ku-store vitu vyote vya muhimu kwenye simu yangu ukizingatia kuwa "google drive" wametoa gb 15 free online storage ambazo hazinitoshiSasa memory card ya nini wakati...
Kuna Google drive na clouds kibao