Msaada: Sipati network kwenye iphone 4s

Msaada: Sipati network kwenye iphone 4s

cleokippo

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2014
Posts
2,152
Reaction score
1,855
jinsi ya kupata network kwenye iphone 4s maana nili reset network hivyo kwa sasa cpat kabisa mtandao
 
hata kupiga uwezi sio hii huwa unabidi unlock baseband kwa hiyo jailbreak kwanza then install cydia kisha fungua cydia ukiwa umeconnect na wifi hata simu ya mtu hizi smart unaweza share nae internet connection kisha install ultra sn0w kisha sime itajirestart ndio network inarudi pia angalia kwenye settings>general>about angalia modem kama ipo na ni version gan
 
jinsi ya kupata network kwenye iphone 4s maana nili reset network hivyo kwa sasa cpat kabisa mtandao

Kunauwezekana mkubwa simu yalo ilikua locked kwa mtandao fulani na ikatolewa lock ndio maana ulikuwa unapata network
Lakini ulipoifanyia factor rest ikarudia state ya awali locked
Itategemea na ujuzi na utundu wako, kama upo mtundu unaweza kufanya mwenye la sivyo andaa kama elf10 hadi 20 upeleke kwa mafundi wakutolee lock utumie kwa mitandao yote
 
Back
Top Bottom