Ndo kamshike mguu sasa huyo unayejua kuwa kakuroga, maana akiwazacho mjinga ndicho kinachomtokea. Wewe unamjua vizuri huyo bibie wa kwanza, hawa wachangiaji wengine wanakuletea mambo ya kitabibu na ya kiteknolojia wamesahau mambo ya jadi yapo na yanatokea.
Mind you my dia kuna vitu vingii vipo humu duniani and we don't have a clue of them simply because we are not subjected to those environment au hatujawahi kupata fursa ya kujifunza..Mwanamke wako wa kwanza angekuwa anashiriki ibada na mnyenyekevu kwa mola hata usingepata hizo fikra, wewe unamjua fika ni mtu wa namna gani.
Sasa mtu phonebook yake imejaa namba za waganga wa kienyeji mara wa Sumbawanga,Lushoto,Biti Ndembo afu uache kuwa na hofu nani kasema.Kama haitoshi wanajuaana vizuri.Wewe uliingiia chaka chaguo lako la kwanza.
Na umerogwa kweli hizo mambo za Rh factor ni very rare, hazitokei kabisa ni mmoja kati ya milioni sasa weh una mkosi gani hata ukutane na mambo hayo.Zaidi itakuwa ndumba tu, mfuate bhana oohooo mi nakwambia akiona hujaenda utageuzwa GASHO hapo sasa jamii nzima itakuona Punga kumbe watu wanaku control.
By the way pole sana.