Jaman natanguliza shukrani kwa msaada, plz kama kuna mtu anajua ufumbuzi wa hili tatizo...maana ninachaji siku nzima lakini inaambulia kujaa 11% nkichaji via computer ndo kidogo inafika 42% na hapo imelala usiku mzima ndo inajaa hivyo, please help.
charger haina uwezo wa kutosha (Current ndogo). make sure hiyo charger ni original na maalum kwa simu hiyo sio tu kwa vile kichwa kinaingia ndio unaitumia.
Nina motorola ya android. Huwa haikai na chaji muda mrefu.
Pili nikiitumia inapata moto sehemu ya nyuma.
Wakat wa kuchaji napo nachaji kama masaa 6 ndo inajaa
Eliasy zile apps ambazo hutumii zitoe au disable them,pia fanya ku deactivate "auto-sync" utapunguza tatizo kwa kiasi kikubwa.Huko kupata moto kwa simu kama ni mpya hilo ni kawaida,baada ya muda itaacha,just let the software settle for some time.