Abdulazizmomba Senior Member Joined May 9, 2015 Posts 189 Reaction score 35 Jun 5, 2015 #1 Jf natanguliza shukrani simu aina ya Tecno T605 inanisumbua sana ninapoweka line ya voda kama connection kwenye internet haisumbui kufungua facebook ila nikiweka airtel fb haifunguki kabisa kupitia opera min browser version 8.Nini tatizo haswa?
Jf natanguliza shukrani simu aina ya Tecno T605 inanisumbua sana ninapoweka line ya voda kama connection kwenye internet haisumbui kufungua facebook ila nikiweka airtel fb haifunguki kabisa kupitia opera min browser version 8.Nini tatizo haswa?