Msaada simu yangu NOKIA LUMIA 710

Mugizi1

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
478
142
naomba mwenye maujuzi anijuze maana simu yangu inashinwa kuwa detected kwenye pc,nashinwa kuweka music na mambo mengine.haina memory card,ina only internal memory.
 
Hii simu inatumia Window phone OS, kwa hiyo unahitaji kusanikisha programu iitwayo Zune ambayo unaweza kuipakua bure kutoka kwa Microsoft. Hii Zune inafanya kazi kama ya iTunes kwa iPod. Without the former the latter is as useless.
 
Unapo connect kwenye PC utaona options za kuchagua hua kuna moja inaitwa MASS STORAGE ili hii hufanya kazi lazima uwe na memory card kwa sabbu simu hutumika kama card reader. Bila memory card itakua ngumu labda fuata ushauri wa mchangiaji hapo juu, kwa kupakua Microsoft Zune.
 
Jaribu ku update os ya laptop yako....inawezekana ikawa haisomi kutokana na kupitwa na wakati(ilishawahi kunitokea)
Pili tafuta desktop manager ya simu yako....nadhani nokia mna pc suite....itakusaidia ku sync simu na comp....kila la kheri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom