Jamani simu yangu inatumia laini ya tigo tu anayeweza kunisaidia itumie laini zote
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Tecno Y3 ilikua inatumia lain zote nikaipeleka kwa fund alii-restore ndo ikawa ivihiyo simu umenunua tigo shop au maduka ya kawaida?
Tecno Y3 ilikua inatumia lain zote nikaipeleka kwa fund alii-restore ndo ikawa ivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapaswa ununue ya laini mbil kwisha habarJamani simu yangu inatumia laini ya tigo tu anayeweza kunisaidia itumie laini zote
Sent using Jamii Forums mobile app
Hyo mbona easy sana,,tumia mtk engineering modeJamani simu yangu inatumia laini ya tigo tu anayeweza kunisaidia itumie laini zote
Sent using Jamii Forums mobile app