Chief-MkwawaHabari za Mda Huu ndugu, Kma kichwa kinavyosema Natumia samsung galaxy A5, Tatzo lake ni kwamba wakati natumia Internet Inatumika kwa mda fulani alafu inakuja inazima yeyewe kwa dakika kma mbili au tatu inajiwasha tena yenyewe na mda mwingne haiwaki hadi niiiwashee Lkini ukienda sehemu ya kuwashia ntwork ya internet inaonekana imewaka ilihali huku H+ inakuwa imezima, Sasa Naomba kufahamu Tatizo apo ni Nini wakuuu.....
Pili Ni Rafiki Yangu Anatumia Tecno W4 yeye tatzo lake kubwa Ni kwamba System UI inasema haifanyi kazi na kukupa option ya kuclose au wait....Naomba pia kufahamu apa wakuuu Hasa kma Kutakuwa na uwezekano Napenda Kufahamu
SYSTEM UI ni Nini.......??? Na inafanya kazi Gani Kwenye Simu, Inapokuwa Imefeli Nini hasa Ambacho kinaweza kutokea Kwenye Simu ....
Naomba kuwasilishaaa.
Hili la system UI not responding na noticification bar uwa ina kua nzito kuslide chini na force stop kwa baadhi ya apps,,,, hutokea sana kwenye android 6.0 marshmallow hasa iyo W4 OS yake ina bugs za kutosha na washalalamikiwa kbsa tecno team kutoa OTA update ili kufix hilo tatizo lakini wabishi,,, mwambie uyo lafiki ako aroot sim na aflash custom recovery then a download custom rom moja inaitwa BLISS au Wild4, hii rom iko poa imefix bugs kama izo na iko smooth au pia anaweza kuflash custom rom ya Lineage OS CM 13 pia iko poa.... Ila napendekeza BLISS Wild4 coz iko almost bugless na imebase kwenye Cynogemod rom.....Habari za Mda Huu ndugu, Kma kichwa kinavyosema Natumia samsung galaxy A5, Tatzo lake ni kwamba wakati natumia Internet Inatumika kwa mda fulani alafu inakuja inazima yeyewe kwa dakika kma mbili au tatu inajiwasha tena yenyewe na mda mwingne haiwaki hadi niiiwashee Lkini ukienda sehemu ya kuwashia ntwork ya internet inaonekana imewaka ilihali huku H+ inakuwa imezima, Sasa Naomba kufahamu Tatizo apo ni Nini wakuuu.....
Pili Ni Rafiki Yangu Anatumia Tecno W4 yeye tatzo lake kubwa Ni kwamba System UI inasema haifanyi kazi na kukupa option ya kuclose au wait....Naomba pia kufahamu apa wakuuu Hasa kma Kutakuwa na uwezekano Napenda Kufahamu
SYSTEM UI ni Nini.......??? Na inafanya kazi Gani Kwenye Simu, Inapokuwa Imefeli Nini hasa Ambacho kinaweza kutokea Kwenye Simu ....
Naomba kuwasilishaaa.
Naomba nisaidie namna ya ku upgrade firmversion 2:2:1 sumsang S GT=I9000-tuanze na hio samsung yako, ni model ya kimataifa au ni ya nchi fulani? nenda setting kisha about kisha nisomee model yake hapa
-UI inamaanisha user interface, system ui ni interface ya simu, yaani ukiingia setting, ukiangalia ram, ukivuta notification vyote hivyo ni UI. njia rahisi ya kujaribu ni kuclear cache/data nenda setting kisha apps kisha kwenye all apps itafute system ui au interface kisha clear cache/data uone kama litaondoka hilo tatizo.
hii inakubali 2.3 mwishoNaomba nisaidie namna ya ku upgrade firmversion 2:2:1 sumsang S GT=I9000
Ahsante mkuu,ubarikiwe sanahii inakubali 2.3 mwisho
jaribu kutumia kies, download kwenye pc.
Nina tatizo kama la huyo muleta uzi-tuanze na hio samsung yako, ni model ya kimataifa au ni ya nchi fulani? nenda setting kisha about kisha nisomee model yake hapa
-UI inamaanisha user interface, system ui ni interface ya simu, yaani ukiingia setting, ukiangalia ram, ukivuta notification vyote hivyo ni UI. njia rahisi ya kujaribu ni kuclear cache/data nenda setting kisha apps kisha kwenye all apps itafute system ui au interface kisha clear cache/data uone kama litaondoka hilo tatizo.
-tuanze na hio samsung yako, ni model ya kimataifa au ni ya nchi fulani? nenda setting kisha about kisha nisomee model yake hapa
-UI inamaanisha user interface, system ui ni interface ya simu, yaani ukiingia setting, ukiangalia ram, ukivuta notification vyote hivyo ni UI. njia rahisi ya kujaribu ni kuclear cache/data nenda setting kisha apps kisha kwenye all apps itafute system ui au interface kisha clear cache/data uone kama litaondoka hilo tatizo.
mkuu tatizo la internet kuwa slow linaweza pia kusababishwa na mtandao unaotumia, umejaribu kubadili mtandao?Nina tatizo kama la huyo muleta uzi
Ukiwa internet inasoma H+ lakin ukiwa unadownload speed Kama ya kinyonga yaani ni ndogo kwa wimbo 1 inaweza chukua hata lisaa lizima .
ukiwa internet hua ikata signal badaye inajiwasha hata kama ukiwa umewasha tayari .pia ukiwasha data inachukua mda sana kuonyesha kwenye screen.
Naomba msaada kama kuna uwezekano wa kuroot maana inaniboa kwa matumiz ya chuo
Ni tecno l9
Population ya watu wanaotumia internet ni kubwa apo chuoni kulko uwezo wa mitandao iliyopo ka ulivoambiwa apo juu ndio chanzo cha hilo tatizo....Hata asahiv inasoma H+ lakini iko slow tena sana na inaload kwa mda mrefu sana
Nimewahi kujaribu kubadilisha line lakin tatizo liko palepale na line zote zinasoma H+ lakin ndo hivo