SangaweJr
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 2,990
- 2,669
Umenichekesha sana apewe dozi kulingana na ugonjwa!
Ndio kaka anaweza aambiwe afanye hard reset kumbe wala haikuwa na haja ya hard reset.
Umenichekesha sana apewe dozi kulingana na ugonjwa!
ni simu aina gani....na unatumia line gani kwaajili ya data? vodacom washenz sana. pia jaribu kwenda kwny "settings...mobile networks...uone km data ina option ya kuvonnect automatically
Simu Samsung galaxy s3, line ya airtel.Mkuu nimejaribu hadi kuiflash lakini tatizo liko palepale.
Fanya hivi mtoa mada
1: nenda setting > Application angalia ile list ya App zako ukiona App ina Mb nyingi mfano facebook 88Mb fungua hilo jina kisha nenda sehem ya clear cache. Nafasi isipo ongezeka basi nenda clear data ila baadhi ya app uki clear data ukija kuifungua inaanza upya.
2: Angalia list ya app zako kama zipo app zina rangi ya kijivu zimefifia zi delete isipokuwa app za system (mfumo wa simu)
3: Nenda setting > Storage hakiki storage memory ina nafasi kiasi gani, angalia ume set app zikae sehem gani internal au sd card.
4: ingiza app itakayo kuwa ina clean junks nk. Mchangiaji mmoja amependekeza clean master.
Angalizo ungesema aina simu unayo tumia ili tujue uwezo wake ROM au internal memory yake.
asante sana mkuu nimefanikiwa