Msaada: Simu yangu kila wakati inaonyesha full storage

FULLUMBU

Senior Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
178
Reaction score
61
nimedelete apps kibao lakini bado inaonyesha internal memory is full
 
kudelete apps sio solution...hizo zitakuwa ni junk files, zimo zimekaba nafasi lkn huzioni....download app inaitwa "Clean Master", weee...hii kiboko. Icon yake ina kama kiufagio hivi kwahyo usije ukadownload tofauti.
 
Mkuu na mie simu yangu data zinawaka zenyewe. ..
Nimejaribu kudownload apps za kuzima data lakini bado tu.
Nifanye nini?
 
Mimi hutumia mbinu ya kuunganisha kwenye PC kwa kutumia USB, halafu fungua utakuta folders na files nyingi sana ambazo hukuziweka wewe (junk files etc). Zifute zote utaona hata speed ya simu inakuwa nzuri na space ya kutosha.
 
jibu zuri na ndo solution yenyeweeee
 
no enough memory nimeshindwa kudownload master clean
 
Mimi hutumia mbinu ya kuunganisha kwenye PC kwa kutumia USB, halafu fungua utakuta folders na files nyingi sana ambazo hukuziweka wewe (junk files etc). Zifute zote utaona hata speed ya simu inakuwa nzuri na space ya kutosha.

Mkuu platozoom hebu soma vizuri swali langu.
 
Last edited by a moderator:
Basi i-format.

Kama imefika hatua hio no way out zaid ya kuiformat
 
Hebu sema jina na model ya simu mkuu upewe tiba kulingana na mlengwa mwenye tatizo, usije pewa tiba kubwa kumbe tatizo dogo.
 
Umenichekesha sana apewe dozi kulingana na ugonjwa!
 
no enough memory nimeshindwa kudownload master clean

hapo itabidi uuninstall apps ukianza na kubwa then kila muda unarudi Google Play kujaribu kudownload tena mpaka nafasi ipatikane...meaning, storage kwaajili ya apps ni tofauti na memory kwaajili ya matumizi mengne unless siku yako iwe n kubwa/ya kisasa km iphone nk. Hilo utaliona ukijaribu kuchange storage from phone to sd card...vingi havitasoma, so fanya juu chini uinstall clean master...ndo uzima wa simu yako.
 
Mkuu na mie simu yangu data zinawaka zenyewe. ..
Nimejaribu kudownload apps za kuzima data lakini bado tu.
Nifanye nini?

ni simu aina gani....na unatumia line gani kwaajili ya data? vodacom washenz sana. pia jaribu kwenda kwny "settings...mobile networks...uone km data ina option ya kuvonnect automatically
 
Back
Top Bottom